Kolonia Santita - Laana YA Panthera Tigrisi (Swahili, Paperback)

'Kolonia Santita: Laana Ya Panthera Tigrisi' ni hadithi ya kusisimua ya kijasusi na madawa ya kulevya iliyoandikwa na Enock Abiud Maregesi. Inazungumzia vita kati ya Tume ya Dunia ya Umoja wa Mataifa, ya kudhibiti madawa ya kulevya na ugaidi wa kimataifa, 'World Drugs Enforcement Commission' (WODEC) au Tume ya Dunia; na shirika kubwa la madawa ya kulevya la Kolonia Santita (CS-14) la Kolombia na Meksiko. Inaelezea, kwa kinagaubaga, jitihada za pamoja kati ya Tume ya Dunia, Marekani na Meksiko za kuwasaka na hatimaye kuwatia nguvuni viongozi nduli wa CS-14; na kuzuia shehena (kubwa) ya madawa ya kulevya na malighafi ya nyukilia: kwenda Afrika, Asia, Amerika, Ulaya na kung oa mizizi ya shirika la CS-14, lote, katika nchi za Hemisifi a ya Magharibi na duniani kwa jumla.
Hiki ni kitabu cha kwanza cha aina yake cha kimataifa katika Tanzania. Lengo lake si tu kukata kiu ya wapenzi wa riwaya za kipelelezi na kufufua mwamko wa usomaji wa vitabu; ni kuleta, hali kadhalika, ufahamu na burudani ya kimataifa kwa Watanzania, Wakenya na Waganda na jamii nzima ya Afrika ya Mashariki inayozungumza Kiswahili na walowezi wa jamii yote ya Kiswahili duniani.

R754

Or split into 4x interest-free payments of 25% on orders over R50
Learn more

Discovery Miles7540
Mobicred@R71pm x 12* Mobicred Info
Free Delivery
Delivery AdviceShips in 10 - 15 working days

Toggle WishListAdd to wish list
Review this Item

Product Description

'Kolonia Santita: Laana Ya Panthera Tigrisi' ni hadithi ya kusisimua ya kijasusi na madawa ya kulevya iliyoandikwa na Enock Abiud Maregesi. Inazungumzia vita kati ya Tume ya Dunia ya Umoja wa Mataifa, ya kudhibiti madawa ya kulevya na ugaidi wa kimataifa, 'World Drugs Enforcement Commission' (WODEC) au Tume ya Dunia; na shirika kubwa la madawa ya kulevya la Kolonia Santita (CS-14) la Kolombia na Meksiko. Inaelezea, kwa kinagaubaga, jitihada za pamoja kati ya Tume ya Dunia, Marekani na Meksiko za kuwasaka na hatimaye kuwatia nguvuni viongozi nduli wa CS-14; na kuzuia shehena (kubwa) ya madawa ya kulevya na malighafi ya nyukilia: kwenda Afrika, Asia, Amerika, Ulaya na kung oa mizizi ya shirika la CS-14, lote, katika nchi za Hemisifi a ya Magharibi na duniani kwa jumla.
Hiki ni kitabu cha kwanza cha aina yake cha kimataifa katika Tanzania. Lengo lake si tu kukata kiu ya wapenzi wa riwaya za kipelelezi na kufufua mwamko wa usomaji wa vitabu; ni kuleta, hali kadhalika, ufahamu na burudani ya kimataifa kwa Watanzania, Wakenya na Waganda na jamii nzima ya Afrika ya Mashariki inayozungumza Kiswahili na walowezi wa jamii yote ya Kiswahili duniani.

Customer Reviews

No reviews or ratings yet - be the first to create one!

Product Details

General

Imprint

Authorhouse Uk Ltd

Country of origin

United States

Release date

September 2012

Availability

Expected to ship within 10 - 15 working days

First published

September 2012

Authors

Dimensions

229 x 152 x 23mm (L x W x T)

Format

Paperback - Trade

Pages

406

ISBN-13

978-1-4772-2295-9

Barcode

9781477222959

Languages

value

Categories

LSN

1-4772-2295-2

Trending On Loot